"ZAMAKALE Promo" Kipindi kipya Star TV

Monday, January 23, 2012

PARTY LA NGUVU "SAHARA MEDIA GROUP" PALIKUA HAPATOSHI!!

Glory Kandidi akiselebuka, Nyuma yake ni Mc Stopper
Mhh!! huyu naye hawa wote utadhani anawaweza!! ni Moses akiwa amekumbatia vimwana Faraja na Husna
Watu walijitolea kutoa zawadi kwa washindi wa danadana
Miduara nayo ilichezwa!!
Flowers wazuri wazuri walijiachia.....
Kila mmoja na style yake ya kupata msosi
Bro Moses hoi...bin taaban!! nakupa bigup sana!!
Baba Angelo aka Atanas Langay....naye alijumuika
Benard James hoi......
Mama D na Baba D (Jacob Marcus wakiteta)
Fatma katika Pozzz!!
pARTY PEoPLe huwa hawakosi vitu kama hivi...ni Gabriel Yotham aka Cheetars
Mabula naye kwa kudoea vya wenye .......
Ujuzi wao wa kuchoma nyama wengine, ulkijulikana hapo kwenye party.....duh!! Yahya Moh na Mama D walisimama vyema katika kuwachoma mbuzi watano wa ukweli.
Tulivinjari pia kwenye football
wachezaji wa Netball nao tunao!!
Wachezaji wakiwa makini kulishuhudia goli likifungwa!!
Faustine, Musa, steve na wengine wakiwa wame relax!!
Mama G, mdhibiti mkuu wa vinywajii...hongera dada kwa kuwalewasha vijana mpaka wakazimika!!

Yahya, katika pozz la kuchoma nyama!!

0 comments:

Post a Comment